ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 8, 2013

PINDA AAGANA NA BALOZI WA OMAN NCHINI

IMG_0041Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimpatia zawadi ya marimba Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri  Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga Oktoba 8, 2013.

IMG_0056Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimpatia zawadi ya kinyago cha faru Balozi wa Oman nchini aliyemaliza muda wake, Yahya Moosa Albakari ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri  Mkuu, jijini Dar es salaam kuaga Oktoba 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: