Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan(JICA) Bwana Onishi Yasunori wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Njopeka Wilayni Mkuranga,Mkoa wa Pwani jana.Mradi huo umejengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzani na serikali ya Japan.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua chanzo cha maji katika kijiji cha Njopeka, wilayani Mkuranga muda mfupi baada ya kuzindua mradi huo jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkuu wa Chuo Cha ualimu Vikindu Bi. Theodosia Rwechungura wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Jengo la Utawala na Mabweni katika Chuo hicho huko Vikindu,Wilaya ya Mkuranga,Mkoani Pwani jana.Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kulia ni Waziri Wa Elimu Dkt.Shukuru Kawambwa.
Mkuu wa Chuo Cha Ualimu Vikindu Bi.Theodosia Rwechungura akiteta jambo na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati Rais Kikwete alipokwenda chuoni hapo Kukagua ujenzi na Kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Utawala na Mabweni chuoni hapo.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.(picha na Freddy Maro)




No comments:
Post a Comment