ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 16, 2013

Shaa anasema ‘Check Wamama wa Uswahilini wakisugua magaga yao hapa’

 hii ni maalum kwako unaekubali kazi ya Sarah Kaisi ambae bongoflevani anaitwa Shaa ambae soon atawakutanisha Watanzania na kazi yake mpya inaitwa ‘Sugua gaga’ Shaa anaingia rasmi kwenye list ya millardayo.com ya Wasanii ambao ukimya wao haukupi jibu...

No comments: