Kijana huyu alishindwa kujizuia na aliinua mikono juu kama Salute kwa Dj Luke kwa mixer zake zinazo weza kuchezeka kwa lika zote
Hapa jamaa akishitua kijoti joti kama unavyo muona na manjo njo yake
Wadau kutoka DC walikuja New York kwa shopping na walivyosikia Dj Luke yupo mjini kufanya vitu vyake wakaona wasikose. Hapa wakipata ukodak wakiwa ndani ya Alamo
Dj Luke akipata Ukodak na funns wake
Bwana Semakula akiwa na mdhamini wa pendo lake Dr Abuu
Dj Mao nae alikuwepo kuja kupata ujuzi kutoka kwa Dj Luke hapa Dj Mao akipata ukodak na wadau
Kama kawaida ukiona manyoya basi ujue pata kaliwa vijana hawa kitoka MA na Brooklyn wakipata ukodak
Mjomba Piter ni nadra sana kutoka lakini alivyo sikia Dj Luke anashusha machine zake ndani Alamo alifika mwenye kuja kukumbuka anzi za ujana wake kwa kupata burudani mchanganjiko kutoka kwa Dj Luke. Kwa picha zaidi
| Ny Akiwa na Miss Wado wakiwakirisha Arachuga for shizzle!!! |
Dj Luke Joe akisho love akiwa nyuma ya machine yake usiku huo
1 comment:
mademu wa new york jamami mko wapi mbona hamjakuka
Post a Comment