ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 7, 2013

TASWIRA ZINGINE ZA OMMY DIMPOZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI LOS ANGELES


 Taswira yawatu wa Los Angeles walivyo kuwa wamejimwaga kwenye show ya Ommy Dimpoz.
 Miondoko ya tupogo hiyoo
Mambo ya ukodak hayo
 Ommy Dimpoz katika picha na Maporomota wake na mdau siku ya Jumamosi alipofanya makamuzi ya nguvu Los Angeles, California.
 Shabiki wa Ommy Dimpoz katika picha
Ommy Dimpoz katika picha ya pamoja na DMK poromota maarufu Marekani aliye juu kwenye show za kuleta wasanii kutoka Bongo na maswala ya burudani nchini Marekani.
Ommy Dimpoz katika picha ya pamoja na wasanii 2Face (kushoto) toka Nigeria, Zani Lady C kutoka Uganda na mdau wa California.
Msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz akiwa VIP akisubili kuanza kufanya makamuzi.
Ommy Dimpoz katika picha ya pamoja na msanii toka Nigeria 2face aliyetamba na wimbo wake wa my African Queen.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: