
Tamasha la waimbaji wa gospel wa Africa na America litakalofanyika tarehe 16 na 17 nov. Rais wa Afrcan Gospel Artists Grace faraja alisema Tamasha litaambatana na mfunzo ya kanuni za uimbaji bora na kusifu na kuabudu kunakomgusa Mungu. Waimbaji wengine watanzania ni Pastor Ency mwalukasa, upendo kilahiro, Christina shusho na Faith Destiny wa USA.
No comments:
Post a Comment