Wednesday, November 20, 2013

AJIRA KWA WATOTO BADO NI TATIZO TANZANIA

Mtoto Jesca Varelia 10 mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Mlimani sinde jijini Mbeya anatumikishwa na mama yake wa kambo kuuza mboga muda wa masomo 

Moja ya wateja wakinunua Mboga hizo toka kwa mtoto Jesca

No comments: