ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 26, 2013

ENEO LINAUZWA JIJINI DSM KILOMITA NNE KUTOKA FERI,NI ENEO ZURI KWA MAKAZI NA BIASHARA

ENEO LINAUZWA(KIWANJA HAKIJAPIMWA)
TAR.26/11/2013
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtPGjG0TbXOzqj466Fei49PBJNXUzxmSCJT3CM94AEvBAtVJltR0TuXpLkAH5BgdmyjvnzG3IXNWdSKUqCspN46_Xp5DHeJABWRNJehPubuxYbuBRqEPUtO-iyWP1zfxgNHGE2pK4aVL2c/s1600/Image014.jpg
KINAPATIKANA: DAR ES SALAAM
WILAYA:TEMEKE
KATA:KIGAMBONI.
ENEO NI KUBWA SANA NA LIPO PEMBEZONI MWA BARABARA YA RAMI
UMBALI KUTOKA FERI NI KILOMITA NNE

BEI YA ENEO:MILLIONI 90 /= tsh

MAELEZO YA ENEO LILIVYO.
Eneo lipo kigamboni bado halijapimwa(Kwa Mnunuzi akishughulikia kulipima bei itapungua--Ushirikiano utatolewa kuhakikisha sheria zote za kupima na kumiliki zinafuatwa).
Kwa wale wakazi wa DSM eneo lipo karibu kabisa na linapotokea daraja linalojengwa la kuvuka Bahari kuja Kigamboni.
Pia Eneo(kiwanja) kipo pembezoni mwa barabara ya Rami kukutanisha na barabara inayotokea Kongowe.
Kwa muhitaji eneo ni zuri sana kwa nyumba na  biashara.

ZINGATIA
Hatuhitaji dalali kwenye biashara hii,Msaada wowote wa Kisheria kuhakikisha Mnunuzi ananunua eneo hili bila usumbufu wowote na analimiliki kwa kufuata sheria za jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia tupo tayari kukupeleka eneo husika ukaangalie ukubwa wake,
KWA YEYOTE ALIYETAYARI KWAAJILI YA MANUNUZI TUWASILIANE
festosanga52@gmail.com
0752806111

NOTE:HATUHITAJI DALALI KWENYE BIASHARA HII

No comments: