ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 14, 2013

FUTURE YOUNG TAIFA STARS YAILAZA TAIFA STARS 1-0-

Kiungo wa Taifa Stars, Athuman Idd 'Chuji' akichuana na mchezaji wa Future Young Taifa Stars, Paul Nonga (kulia) wakati wa mchezo wa kirafiki jana
Beki wa Taifa Stars Erasto Nyoni (kushoto), akichuana na mshambuliaji wa Future Young Taifa Stars, Simon Msuva.
(Picha na Francis Dande)

MECHI ya kirafiki iliyopigwa jana kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Future Young Taifa Stars na Taifa Stars imemalizika kwa Future Young Taifa Stars kuibuka kidedea kwa bao 1-0.

No comments: