
yaliyoko Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu, ICC ni ushindi mkubwa kwa Afrika.
Katika maohjiano maalum na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao cha baraza la usalama, balozi Macharia amesema Umoja wa Afrika haujakata tamaa na kwamba wana uhakika wa ushindi dhidi ya ombi lao watakaolipeleka kwenye mkitano maalum the Hague Uholanzi wiki ijayo. Akifafanua kwa msisimko hisia zake kuhusu maamuzi ya baraza la usalama balozi Kamu anaanza kwa kushangaa wanaosema Afrika imeshindwa.
(SAUTI –MAHOJIANO MACHARIA)
Kusikiliza mahojiano bonyeza hapa
No comments:
Post a Comment