ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 15, 2013

Wakazi Tegeta watuhumu askari 2 kutumiwa vibaya na mzazi kupiga watoto

Baadhi ya wakazi wa Tegeta wamevamia kituo kidogo cha polisi Tegeta wakituhumu askari wawili kutumiwa vibaya na mzazi kuwapa vipigo vikali na vitendo vya ukatili watoto wake bw. John mwenye umri wa miaka 14 na Bi. Josephin Masumbuko aliyelazimika kutoroka shule akiwa kidato cha tatu na kuanza kuuza baa maeneo ya Bunju akiwa na umri wa miaka 17.

No comments: