Jeshi la wanamaji la Marekani limeongoza mazoezi ya kukabiliana na kudhibiti maharamia,wahamiaji haramu,usafirishaji silaha,uvuviharamu,uokoaji na ufuatiliaji wa meli katika pwani ya bahari ya Hindi, kwa kushirikiana na jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania kikosi cha wanamaji pamoja na taasisi za serikali zinazojihusisha na shughuli za bahari.
No comments:
Post a Comment