ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 17, 2013

LIBENEKE JIPYA LA MAX SPORTS

Muda si mrefu Stensen, kutoka Sweden, ameshinda mashindano makubwa ya European Tour Championship huko Dubai...na kuwa namba 1 Europe...pia kuweka rekodi ya kuwa na low score kuliko wote kwenye hayo mashindano...

Nimeanzisha blog ya michezo ambayo ina michezo ya aina mbalimbali ili kuwawezesha watanzania na wengine kupata sorts news na events mbalimbali za michezo. Tafadhali tembelea
www.maxsportstz.blogspot.com

Karibu Max Sports!!!!



Regards,
Max

No comments: