ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 17, 2013

Mamia ya wakazi wa jiji la DSM wajitokeza kumuaga Marehemu Dk.Sengodo Mv...


Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es salaam pamoja na viongozi mbalimbali wamejiokeza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba Dk.Sengondo mvungi aliyeuawa na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi huku serikali ikitakiwa kuhakikisha inatafuta ufumbuzi wa kina wa kukomesha matukio kama hayo kwa raia wake.

No comments: