Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,leo
Meya wa Ilala, Jerry Slaa,akiweka shada la maua
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, akiwaongoza sehemu ya wanafamilia kuweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wake, (Peter Mangula), wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,leo
Kingunge Ngambale Mwilu, akiweka shada la maua kwa niaba ya wazee
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la maua kwenye kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,leo
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, akiweka udongo kwenye kaburi la mtoto wake, Peter Mangula, wakati wa shughuli za maziko zilizofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,leo
Watoto wa marehemu, wakiweka udongo kwenye kaburi ikiwa ni ishara ya kumzika baba yao.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji wakati wa shughuli za maziko ya mtoto wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula) zilizofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Peter Mangula likishushwa kaburini.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Peter Mangula likishushwa kaburini.
Baadhi ya Vijana wa CCM, wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Peter Mangula, wakati wakiwasili kwenye makaburi ya Kinondoni kwa maziko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji wakati wa shughuli za maziko ya mtoto wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula) zilizofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na waombolezaji wakati wa shughuli za maziko ya mtoto wa Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula) zilizofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo. Picha OMR













No comments:
Post a Comment