Friday, November 22, 2013

MAUNO! MAUNOO!... Video mpya ya Snura – “Nimevurugwa” imetoka. Icheki hapa


August 2013 ndio Snura aliishusha single yake ya ‘nimevurugwa’ kwenye radio za bongo ikiwa ni miongoni mwa single zinazopata airtime bila kuwa na video lakini leo November 22 2013 kaishusha video on AyoTV… itazame hapa chini na uache maoni yako mtu wangu, atapita hapa baada ya saa 6.

Snura alisema kwenye video ya ‘majanga’ hakuweza kucheza kama inavyotakiwa lakini huku kwenye ‘nimevurugwa’ ndio kajiachia.

2 comments:

Anonymous said...

mhh ni hatari nimevurugwa kwa kwenda mbelee

Anonymous said...

hii hatari ya denja mauno sio ya kawaida nimelowa