Mwenyekiti wa New York Tanzania Community bwana Hajji Khamis akifungua mkutano
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Mataifa Mh, Ramadhani Mwinyi akiongea
Makamu mwenyekiti bwana Charles Chiume akiongea machache.
Makamu katibu Dr Mariam Abuu
Karibu bwana Mhella akisoma report juu ya maendelea na mipango endelevu ya New York Tanzania Community
Bwana Reverend Charles Buttler akiongea juu ya ununuzi wa nyumba kwa bei nafuu. Bwana Buttler ni Mmarekani na ni mmoja kati ya wageni waharikwa kwenye kutano huo.
Bwana Benjamin kutoka Bank ya wells Fargo akiongea jinsi ya kufungua Account ya bima ya maisha kupitia bank hiyo.
Bi Jennifer au mama Karatu kama anavyojulikana huko Tanzania, Bi Jennifer alikaribishwa kwenye mkutano huo na hapa akiongea jinsi alivyofanikisha shule ya Karatu kutumia umeme kwa njia ya Solar power wenye bei nafuu. Kwapicha zaidi nenda soma zaidi.
3 comments:
kazi ipo watanzania sasa mbona wajaonyeshwa hao watanzania walio hudhuria wanaonyeshwa wakuu tu au watanzania hawajaenda wengi na si walaumu kila mtu aanasaka tonge sio maneno siku hizi
Je, unauhakika ulichoandika hapoi juu ni sahihi? Hivi ndio majungu yanavyoanza. Mimi sijahudhuria huu mkutano lakini nimeona picha za wahudhuriaji weto hapo juu.
Ulibonyeza pale inaposema "SOMA ZAIDI"?
Nawapongeza sana watanzania kwa umoja mnaouonyesha kwenye nchi za watu,ni vyema mkaendeleza mshikamano wenu na kudumisha upendo..Kiukweli inaleta raha sana kuona mmekusanyika kwa wingi na kusaidiana mawazo ya nini cha kufanya ili kuleta maendeleo.Nawapongeza teana na tena na kuwatakia mafanikio mema huko mliko.Maganga One ''Blogger''
Post a Comment