Wednesday, November 20, 2013

QUEENS OF THE NIGHT FASHION EXTRAVAGANZA BY DESIGNER EXTRAORDINAIRE LINDA BEZUIDENHOUT

 LB akiwakilisha kwenye Queens Of Th Night Fashion Extravaganza iliyofanyika Atlanta Georgia mwishoni mwa wiki
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


9 comments:

Anonymous said...

mbona makolokocho sana nilikuambia you good kwa manguo ya kutisha yani haloween

Anonymous said...

Yaani sio siri mbona maguo mabaya hivyo. Nani atavaa maguo hayo. For real you need to take classes about outfit making. Your finishings are very poor. In general, you are not there yet. Go back to learn the basic.

Anonymous said...

Wewe mdau hapo juu embu acha majungu huna hana aibu eti makolokocho,lol Mungu akuathibu popote upitapo usifanikiwe katika maisha yako pumbavu kabisa wewe mpe sister Linda credit yake,Mtanzania gani anayeweza kudesigne na kushona mwenyewe kama Linda hapa USA mimi binafsi sijaona,kwa jina la Yes na shetani amuepushie mabaya sister Linda aendelee na kazi yake nzuri inavutia sana especially mimi binafsi sijaona mfano wake,Iam so proud of her.Congrats to LB.Keep it up its a good job.

Anonymous said...

give a sista some credits people! she is doing a great job, tatizo wa-TZ kama wewe anon hapo juu mmezoea ku-shop nguo za DEB na other low classes, wake up and smell the coffee!

Anonymous said...

Sister Linda Hongera sana good job and well done, nafikiri hao wadau hapo juu hawajui nini maana ya Designer, wewe dada unaonekana ni professional lakini hao madomo kaya! Washazoeya kuvaa vitenge vya Asia ....... Oops !

Anonymous said...

goodjob mamy...! thats LB Baby..gud job

Anonymous said...

.....To be honest. Who is gonna wear any of these outfits especially the big balloon clothes. Which party or function. Halloween only or scary movies. Stop fooling yourself cause you are not fooling us.

Anonymous said...

Kazi nzuri LB,nimependa sana nguo zako.Wa TZ tuwe tunapongeza sio koneana fitna.kila la kheri dear.

Anonymous said...

Anonymous wa 21 at 11:10. Samahani kwa kukuuliza. Wewe unawajua watanzani wote wanaoishi marekani na shughuli zao. Sio kila mtu lazima ajitangaze na kujisifia kipaji alichonacho au kufanya mashindano katik mitandao. Wewe sio kigezo cha kujua watu na vipaji vyao. Kwa taarifa yako wako madesigner wa kitanzania wanaojua kudesign kukata na kushona. Ukiwatafuta utawapata. Kaka luka weka tangazo la kutaka kuwajua madesigner wa kibongo waliopo hapa na uwape nafasi ya kkionesha kazi zao. Tutaona utawapata wangapi. Linda anajitahidi lakini bado hajafika. Inabidi ajifundishe basic elementa of designing n.k