
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013.PICHA NA IKULU
2 comments:
YAANI hio suti zetu zinachekesha. Hao wahudumu wenu hawawaelizi jinsi ya kutoka??
Comment yako haina point. Wamevaa what is called "casual wear". Hizo siyo suits mdau, amuka!
Post a Comment