Rais Jakaya Kikwete amewaongoza viongozi na Watanzania katika kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu daktari Edmund Sengondo Mvungi aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba ambae alifariki dunia nchini Afrika kusini alikokuwa akipata matibabu baada ya kuvamiwa na majambazi na kukatwa mapanga nyumbani kwake Kibamba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment