ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 29, 2013

RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA JIJINI MWANZA LEO


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akianza kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni. Kombe hilo limerejea jijini Dar es Salaam na kesho wananchi watapata fursa ya kupiganalo picha.
Hapa ni furaha tu
Picha na Ikulu

No comments: