ANGALIA LIVE NEWS

Friday, November 8, 2013

RAIS KIKWETE OFISINI KWA SPIKA JANA

D92A9964 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini Kitabu cha Wageni katika ofisi ya Spika jana muda mfupi kabla ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kushoto ni Spika Mhe.Anna Makinda na kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Baadhi ya wabunge wakimsikiliza kwa makini Rais Kikwete Bungeni jana.D92A0109 

Baadhi ya wabunge wakimsikiliza kwa makini Rais Kikwete Bungeni jana(picha na Freddy Maro) 

2 comments:

Anonymous said...

Yaani wabunge wanaonekana kama wamelazimishwa kuwepo hapo walipo!! Hawana uchangamfu na wala kuonekana kufurahishwa na kile wanachosikiliza, na hii ni sehemu ndogo tu je ukionyeshwa eneo lote si litaonyesha maajabu. Wanaonekana kuwa na mawazo ya kulumbana na wala sio usikivu makini!! Je kweli nyiie ni wabunge mnaowakilisha taifa? malipo mnapokea. kuna niniii!!! CHANGAMKENI Jamani.

Anonymous said...

Tatizo sio uchangamfu tatizo ni mgongano wa lugha kwa watawala wet waliokosa umakin au maadili ya uongoz, samwel sitta alisema ha tuna muda wa kuwabembeleza Kenya Uganda na Rwanda, wazir membe akasema tunasunir waraka wa kufukuzwa ( talaka) Rais Kikwete anakuja name kauli kuwa hatoki mtu sasa hata ungekuwa wewe unapata wapi furaha ya kumsikiliza mtu ambae wateule wake wameshachanganya wabunge? Usilaumu kabla ya kufikiri, wiki iliyokwisha halima mdee alikosoa lugha mbili za kukinzana kati ya wazir wa elimu na katibu mkuu wake, lakini lukuv akaja na mpya na kusema kauli ya wazir ndio ya serikali yaani inachekesha kasahau kuwa katibu mkuu ni mteule wa Rais na ndio mtendaji mkuu wa wizara sasa kauli kama hizi zinaweza kukufanya ufurahi kuzisikiliza?