Advertisements

Tuesday, November 19, 2013

TAIFA STARS NA ZIMBZBWE WAMETOKA PATULO.


Ngassa akimtoka Themba Ndhlove

Mbwana Samatta akiwachambua mabeki wa Zimbabw
Samatta akipiga shuti baada ya kufanikiwa kuwachambua mabeki wa Zimbabwe

Aggrey Morris aliyeruka juu kupiga kichwa langoni mwa Zimbabwe baada ya kupanda kusaidia mashambulizi wakati kona inapigwa




Shomary Kapombe akiteleza upande wa kushoto


Mwinyi Kazimoto akimpa pasi Mbwana Samatta, huku wamezongwa na wachezaji wa Zimbabwe
Mbwana Samatta akimpiga chenga Mzimbabwe

Kiungo Hassan Dilunga akiwatoka viungo wa Zimbabwe

Erasto Nyoni ameruka kupiga kichwa

Aggrey Morris anapanda

Thomas Ulimwengu akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Zimbabwe
Ivo Mapunda akidaka shuti la Simba Sithole

Beki Kevin Yondan akipanda
Kikosi cha Stars leo

Kikosi cha Zimbabwe leo                                                                                                                              kwahisani ya bin zubeiry

No comments: