Hapakatibu wa tawi la CCM New York bwana Shaban Mseba akimkabidhi kadi ya CCM bwana Magawa.
BwanaMagawa akionyesha kadi yake ya kuwa mwanachama wa CCM baada ya kukabidhiwa
Mikono juu na kadi ya CCM
Bwana Shaban katibu wa Tawi la CCM wakipata ukodak katikaei bwana Magawa na mwisho ni Seif Akida.





6 comments:
SAWA NAONA IZO KADI MNAGAWIANA KAMA PIPI.KAZI IPO
MDAU VIRGINIA
Ujinga mtupu!
kwa Bi Asya ndio ofisi ya CCM? New York kwa kuungaunga?
mbona majina ni akina yusuph, mohammed, shaban na seif kulikoni waislamu?
Jamani WaTanzania tuamke, Hivi kwenye nchi zetu za Africa hususani Tanzania tutokako hakuna mataifa mengine yanayoishi TZ, waChina kibao wapo, waHutu wapo, waNyarwanda WaMarekani, hivi mlisiia wapi vyama vikitunisha misuli. Tanzania haina tabia ya kuwaruhusu walioko nje ya nchi kupiga kura sasa haya matawi na ugawaji wa kadi kama biskuti (cookies) unatusaidiaje. Tukae chini tubuni mbinu za kuwasaidia watoto na wajukuu zetu kule nyumbani elimu bora ili waje kuongoza nchi yenye mbolea, hivi vikao hizo fedha zingeandaliwa kila mwaka tukapeleka msaada wa aina fulani jamani. AU MNAPEWA CHOCHOTE NA UONGOZI WA KINA NAPE!?Tuambiane jamani. DMV waliitwa watu kumi kwenda kwenye mkutano Dodoma na kulipiwa zilikuwa fedha za nani, wengine wakaibulia hapo washikaji! haya tuko tunaangalia.
inasikitisha sana aisee!hawa wote wanafata masilahi na kutafuta sifa.wafungue office basi
Post a Comment