Mwananmuziki wa Bongo Flava anayetamba kwenye gemu ya Bongo Flava na rais wa Wasafi Diamond akifanyiwa mahojiano na moja ya Hip TV na moja ya swali aliloulizwa ni kwanini ringtone ya nyimbo zako zinauzika sana kwenye soko la Afrika Mashariki na yeye aliwajibu sababu anaijua ni Mwenyezi Mungu.
Rais wa Wasafi Diamond katika picha na Clarance Peter
Diamond katika pozi.
Diamond akionyesha miondoko ya Ngololo




4 comments:
sababu ni yule mganga aliyemrogea akapata hayo mafanikio sema kweli dogo mungu anapenda anayesema kweli
Kazungumza kwa lugha gani hayo mahojiano?
Umburula wa Kimombo ni janga Tanzania!!! Kwa wanaobisha kuwa si janga ni wale mliopitwa na kujifunza lugha hii maridhawa inayokubalika duniani.
Hakina cha aibu wala uzalendo, the fact is if one learns a well established foreign language, be it english, french, spanish or any other, it's a step ahead in facing global challenges. Until and unless we accept that tutabaki kujinaki kwa kitu kilichotupita na chenye ufinyu na upeo mduchu.
diamond kumbe penny ni ndugu yako wa damu sasa itakuwaje aibu hii au ndo maana umeamuwa kurudiana na wema sepetu?
unaona kujisharabua huko kumbe mtu unakula na ndugu yako ndo maana unatakiwa umjuwe mungu wako muumba wako dunia hii tunapita njia
tUWEKEENI INTERVIEW LIVE TUONE ANAVYOONGEA LIVE.kISWANGLISH TUKISIKIE.
Post a Comment