Timu ya Vijana U-20 ya BOKO BEACH FC inayofundishwa na kocha Juma Maswanya mkaazi wa Houston, Texas nchini Marekani ambaye yupo Dar es Salaam, Tanzania kwa likizo. Kikosi hiki kimeingia kwenye kinyang'anyiro cha Ligi ya Tageta inayojulikana kama TAGETA LEAGUE itakayoanza wiki ijayo.

No comments:
Post a Comment