ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 24, 2013

19 WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM

Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,wakibadilishana mawazo na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(aliesimama kulia)mara baada ya kuwakabidhi washindi hao bodaboda zao,Jumla ya Bodaboda(230)zimekabidhiwa kwa washindi wa promosheni hiyo nchi nzima na Milioni 142.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda,Bw.Hassan Shabani(kushoto)akifurahia jambo na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)huku washindi wenzake wakimshuhudia wakati wa makabidhiano ya Pikipiki aliyejishindia kupitia promosheni hiyo,Jumla ya Bodaboda(230)zimekabidhiwa kwa washindi wa promosheni hiyo nchi nzima na Milioni 142.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kulia)akimfanyia mahojiano Mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda,Bi.Consolata Deogratius mkazi wa jijini Dar es Salaam huku washindi wenzake wakishuhudia baada ya kumkabidhi pikipiki yake aliyejishindia kupitia promosheni hiyo.Jumla ya Bodaboda(230)zimekabidhiwa kwa washindi wa promosheni hiyo nchi nzima na Milioni 142.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mmoja wa washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,Bi.Monica Saimoni akisukuma pikipiki yake(kushoto)huku akifurahia jambo na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)baada ya kukabidhiwa pikipiki yake aliyejishindia katika promosheni hiyo na Meneja huyo,Jumla ya Bodaboda(230)zimekabidhiwa kwa washindi wa promosheni hiyo nchi nzima na Milioni 142.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda,Bi.Consolata Deogratius mkazi wa jijini Dar es Salaam,akiwaonyesha waandishi wa habari kadi ya pikipiki yake aliyejishindia katika Promoshe hiyo inayoendeshwa na Vodacom Tanzania huku Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu(kulia)akimshuhudia na kuongea nae.Jumla ya Bodaboda(230)zimekabidhiwa kwa washindi wa promosheni hiyo nchi nzima na Milioni 142.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda, Lambert Paulo akiikagua Pikipiki yake huku Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(wa kwanza toka kusho)akimshuhudia pamoja na washindi wenzake mara baada ya kukabidhiwa pikipiki hiyo na meneja huyo aliyejishindia katika Promosheni hiyo.Jumla ya Bodaboda(230)zimekabidhiwa kwa washindi wa promosheni hiyo nchi nzima na Milioni 142.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda Bw.Watson Ngimbusi,Mkazi wa jijini Dar es Salaam Kigamboni akimwelezea furaha yake Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kulia)kana kwamba haamini kama kweli anaondoka na pikipiki yake aliyekalia baada ya kukabidhiwa rasmi,Jumla ya Bodaboda(230)zimekabidhiwa kwa washindi wa promosheni hiyo nchi nzima na Milioni 142.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.CREDIT:DJCHOKA

No comments: