![]() |
| Mabina Enzi ya Uhai wake |
Aliyekuwa mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza MABINA ameuwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe huko maeneo ya Kiseke jijini Mwanza.
Chanzo cha kuuwawa ni kwamba mabina aliwanyang'anya ardhi wananchi hao na kesi ikawa mahakamani na leo mchana Mabina bila kibali cha mahakama alikuwa anapanda miti na kujenga msingi wa nyumba ndipo wananchi wakaenda kumhoji iweje anapanda miti na kuweka msingi kwenye viwanja hivyo ilhali kesi ipo mahakamani?
Mabina akaanza kutoa lugha chafu na kurusha risasi hewani. Kwa mujibu wa Katibu wa CCM ndg Joyce Masunga (maarufu kama Maziwa Fresh) ni kweli kuwa tukio hili limetokea na tunaendelea kufuatilia kupata habari zaidi.

4 comments:
Aibu zake huyo marehemu!!!!! Karen hii kweeli Ni ya kuwanyang'anya Watu ardhi kinyemela? Eti Kisa wewe Ni Kiongozi wa CCM? Kweeli ulifilisika kimawazo na ubabe wakati mwingine haufanyi kazi kabisa!!! Aibu! Aibu! Haya sasa umekufa umeiacha hiyo ardhi na familia yako imebaki na huzuni! Duu! Majanga!
should stone all the leaders, they are corrupt and don't care about wananchi. Joyce banda said leadership is to love your people and be loved by the people. You can't love them kama unwaibia
stone them alll,
Jamani hii ni fundisho, usicheze na wananchi wenye hasira. Watanzania wa leo wameelimika sana na hawataki tena kuonewa, kweli viongoze wanatakiwa kuwa makini na utendaji wao wa kazi na mahusiano yao na wananchi wao. Jamaa watu wake walimchoka sana. Mungu ampokee kwa amani lakini ana jambo la kujibu kwa Mungu.
Post a Comment