ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 24, 2013

AZMA MUNGU INUSURU TANZANIA OFFICIAL VIDEO

Huu wimbo na maalum kwa WATANZANIA WOTE, wanaoipenda TANZANIA,haya niliyoyandika na dedication kwao,nimewazungumzia Watanzania kwa kuwa ndio taifa langu mama, lakini wimbo huu usijifunge tuu ni kwa watu wote walio na matatizo kama ya WATANZANIA,uwafikie jirani zetu wa KENYA, UGANDA, RUANDA & BURUNDI...
HII BONUS TRACK katika album yangu ya 2 ya ASTHMA((AZMA)) ATTACK.
NB UKIPATA UJUMBE HUU, SHARE KWA WATU 10.

AUDIO DONE BY DEEY CLASSIC
STUDIO: REVOLUTIONARY SOUND
&
VIDEO DONE BY: BobRay
STUDIO: KINYE MEDIA

No comments: