ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 2, 2014

DJ LUKE KURUSHA JUMAMOSI JAN 4, 2014 KIOTA KILE KILE CHA SAFARI CLUB, GEORGIA AVE NA KILA JUMAMOSI

 Juu na chini ndiyo mandhali mpya ya kiota cha maraha cha Safari kikiendelea kutoa rasha ya Burudani ambayo haijaisha utamu wake fika urushe mikono na kujiachiaachia ili maradi si fujo wala patashika karibuni sana Jan 1, 2014 na kila siku ya Jumamosi
KIINGILIO $15
LADIES FREE B4 11PM
COUPLES FOR $20 ONLY
FIKA UWE WA KWANZA KWENYE MWEZI WA KWANZA SIKU YA NNE TU KWENYE KIOTA CHA MARAHA AMBACHO HAUTASAHAU RADHA YAKE KWENYE USIKU WA KIMATAIFA. KUANZIA 9PM TO 3AM

ADDRESS 4306 GEORGIA AV, NW
WASHINGTON, DC 20011

KAMA UNATAKA KUSHEREHEKEA SIKU YAKO YA KUZALIWA TUNA HABARI NJEMA PIGA SIMU 301 661 6696 NASISI TUTAFANYA MIPANGO MIZURI YA WEWE KUFURAHIA SIKU HIYO HUKU WENGINE  TUKISHUHUDIA.

kArIbU


1 comment:

Anonymous said...

$15 Cover charge is way too high!
So is the price of drinks! One shot of whisky sales @ $10, you won't get many customers with those prices!