
Timu nzima ya Azam TV Burudani kwa wote itakuwa Unguja na Pemba kuwaletea LIVE mashindano ya Mapinduzi Cup 2014.
Timu za Simba, Yanga, Mbeya City, Unguja Combine, Pemba Combine, Chuoni, KMKM, AFC Leopards na Tusker toka Kenya na URA na KCC za Uganda zimethibitisha kushiriki
Usiache kununua kisimbuzi (king’amuzi) chako cha Azam TV haraka uweze kujionea uhondo huu live, Mechi 26, viwanja viwili, timu 12 Bingwa mmoja










CREDIT:BINZUBEIRYBLOG
1 comment:
Sasa kila stesheni inabidi ununue kin'gamuzi utakunavyo vingapi mhh
Post a Comment