Ghalib Simai wa Minneapolis MN,
Alamba nondo ya masters in business administration katika chuo kinachojulikana kwa jina la Minneapolis School of Business chuo hicho kipo Minneapolis MN. Ghalib ni beki mkabaji anaemaliza wa timu ya Yanga ya ughaibuni. Vijimambo team pamoja na wapenzi wa Yanga na wachezaji wenzie wanampongeza na kumtakia mafanikio mema na kila la kheli katika maisha yake na pia aweze kuendelea mbele kwa elimu ya juu zaidi top of the field Ph-D.
Ghalib Simai




No comments:
Post a Comment