ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 6, 2013

MISSY TEMEKE AWASILI CALIFORNIA TAYARI KUTIA NAKSHI SHEREHE YA UHURU OAKLAND KESHO

Missy Temeke awasili jijini Oakland CA akiwa tayari kwa fashion show ya nguvu, maadhimisho ya sherehe za uhuru wa Tanzania Bay Area itakayofanyika kesho Jumamosi Desemba 8, 2013 ndani ya Jiji la wajanja.

No comments: