ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 6, 2013

TASWIRA ZINGINE ZA KUWASILI KWA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI CALIFORNIA

 Mhe.Liberata Mulamula (kushoto) Balozi wa Tanzania nchini Marekani katika picha ya pamoja na Regina Limo wa California waliofika kupomkea Mhe. Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ambaye atakuwa mgeni rasmi kesho Jumamosi kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Jiji la Wajanja Oakland.
 Watanzania wa California wakiwa na furaha kumpokea mgeni wao.
 Viongozi wa Jumuiya wakiwa na Balozi wa heshima Ahmed Issa (watatu toka kushoto) wakati wa mapokezi ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.
 Vijana akiwemo Alvin Mulamula (wapili toka kulia) katika picha ya pamoja na Mhe. Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Khadija Mwinyi.
 Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi katika picha ya pamoja na Watanzania wa California akiwepo Balozi wa heshima Ahmed Issa.
 Rais msstaafu Ali Hassan Mwinyi, mkewe mama Khadija Mwinyi, Balozi Mulamula Balozi wa heshima Ahmed Issa na mkewe wakipata mandhari ya jiji la wajanja Oakland.

No comments: