ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 24, 2013

MOHAMED MATUMLA NASIBU RAMADHANI KUMALIZA UBISHI X-MAS

Bondia Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao leo katika 
ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam leo katikati ni promota wa mpambano huo kaike siraju
Promota kaike Siraju akiwainua juu mikono Bondia Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani kwa ajili ya mpambano wao wa kugombea pikipiki siku ya sikukuu ya Xmas Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: