ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 12, 2013

Photos of President Kikwete at the memorial service

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

acheni uwongo na habari zenu amtambulishe kwani watu hawamjuwi obama.watanzania wapumbavu na wandishi mijinga.shule muhimu sana