ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 25, 2013

SALAMU ZA HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA


Ny Ebra anawatakia heri ya Krismas na Mwaka Mpya Watanzania wote na wadau wa blog ya Vijimambo. Nyinyi ndiyo Vijimambo kwani bila nyinyi Vijimambo haiwezi kuendelea, Tudumishe AMANI na UPENDO kwani ndiyo chachu ya maendeleo. Hadithi kwa vitendo na unajenga bila kubomoa.

1 comment:

Anonymous said...

nimekukubali mwanangu kwa maneno yako muruwa yalio jaa wingi wa hikma

merry christmas to you too and happy new year to you too bro usipati sana lakini pole pole okay

mount vernon