ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 26, 2013

TAARIFA YA MSIBA

.
Msiba wa Mamaake Amne Shaaban Salim mke wa Bwana Fuad wa Brooklyn Bi.Fatma Muhsin Zahran uliotokea Pemba,Tanzania leo Alkhamis.Wanajumuiya tuungane kuwafariji wenzetu katika kipindi hiki kigumu.M/Mungu amsameh marehemu makosa yake na awape subra wafiwa.Namba ya simu ya nyumbani kwa Bwana Fuad ni :718 348 0203. Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake ndio marejeo yetu.  AMEEN.

Hajji Khamis
Chairman
New York Tanzanian Community.

No comments: