ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 1, 2014

TIMU NZIMA YA VIJIMAMBO INAWATAKIA WADAU WOTE KHERI YA MWAKA MPYA

Timu ya Vijimambo inawatakiwa wadau wote kheri ya mwaka mpya kote Duniani. Nchi nyingine kama Tanzania tayari ni mwaka mpya kheri za mwaka huu ziwafikie Watanzania wenzetu na wadau wote wa blog hii na mwaka mpya uwe wa malengo, mafanikio na upendo.

No comments: