ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 2, 2013

TIMU ZA TANZANIA NI HODARI WA KULETA MAKOCHA WA KIGENI TIMU ZIKIFANYA VIBAYA WANAISHIA KUWATIMUA NA KUISHIWA KUDAIWA MAMILIONI KWA KUVUNJA MIKATABA


MAKOCHA HAO WANAOWALETA KWA MBWE ZA MATARUMBETA KAMA KUNAOLEWA MTOTO WA MFALUME
Kocha akizungushwa uwanja wa mazoezi viongozi wa timu hiyo husika iliyomleta kwa matarumbeta. Uwanja kama huu wachezaji wataweza kweli kufikisha malengo yanayotarajiwa? Je kocha anaweza kufanya kazi yake kama inavyotakiwa?. Kupata mafanikio kwenye kiwanja kama hivi ni sawa na sungura kumkaba kobe. Kocha kichwa chini na mikono kiunoni anawaza nini huyu. Pesa zinazolipwa makocha hawa  wa kigeni wakitimuliwa zingeweza kuboresha viwanja vya mazoezi. Tanzania na timu zetu bado kiza kinene kinachotokana na viongozi wa mtoto wa mjomba na marehemu baba alikuwa mchezaji na mtunza jersey. Kabla ya kutafuta kocha wa kigeni au kuwadharau makocha wazalendo viwanja bora kwanza na management zenye mtazamo wa maendeleo. (This is my Opinion .....!!

1 comment:

Anonymous said...

ni kweli kabisa.
Tafadhali ipeleke kwa michuzi pia.