ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 27, 2013

WATU WATANO WACHOMWA MOTO HADI KUFA HUKO GEITA-GEITA YETU

RPC GEITA, LEONARD PAUL
Watu watano wameuawa baada ya kupigwa na kisha kuchomwa moto hadi kufa na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za kuvamia na kuiba kwenye msiba nyumbani kwa mzee John Bulemeja Ibarabara huko Nyantorotoro A, Mkoani Geita

No comments: