ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 17, 2013

YALIYOJIRI KWENYE BIRTHDAY PARTY YA DADA YAKE DIAMOND

Diamond, Nay, na Mzee wa Tupo go wakipata ukodak kwenye birthiday hiyo ya dada yake Diamond anaejulikana kwa jina la Halima Kimwana. Party hiyo ya Birthday ilikuwa full mambo ya pwani kwani akina dada walifanya yao kwa roho zao kwatu kabisa. Jitiririshe mwenyewe na picha za chini na utakacho kiona huko mwachie baba na mama.
Dada na kaka wakilishalina cake kwenye party hiyo
More picture’s visit here http://thisisdiamond.com/

6 comments:

Anonymous said...

Rubish and garbage stuff ever seen....kweli watanzania kazi ipo

Anonymous said...

Trush

Anonymous said...

Burf!!

Anonymous said...

anonymous wa 7:52 sijui unamlaumu nani wanaokula maraha yao, au huyu aliyeamua kutuletea katika blog. this is a free world mtu anafanya kile anachopenda mradi asivunje sheria za nchi tu. hao unaowaona wanacheza na kukata kiuno wakiwa na nguo zao, kuna wengine katika ulimwengu uliooendelea wanajipiga picha wakiwa uchi wa wanyama na kufanya mapenzi ili na wengine wawashuhudie, tena isitoshe katika staili tofauti na jinsia tofauti kwa njia hata za kinyume na maumbile.

Anonymous said...

nauliza na naomba jamani mwenye kujua aniambiye kweli hawa ni dada na kaka isije ikawa ya yale yale ya girlfriend wake aliyempachika mimba na halafu baadaye kujua ni ndugu yake so hawa ni ndugu kivipi halima na diamond tujulisheni jaamani

leteni raha raha vimwana natamani niruke dar misago misago wakati my man iam around acheni jamani wachukuweni mademu hao nimependa sana

watu wasiotoka pwani wametoka bara na vijijini basi wanaona trash lakini kwa sisi vishoka alwataan tunaburudika luke mwaga mwaga vitu mwanangu mwanga unatukonga nyoyo zetu waungwana wa pwani

Anonymous said...

waungwana wote wa pwani mmeona vimwana hao mashallah tusiwaruhusu wacheze peke yao tucheze nao unyago jamani vidume tupo lakini mbali nao

luke umenifurahisha sana kwa picha hizi

diamond next time dada yako akifanya birthday yake au yako au yeyote yule kama mnamambo ya pwani nialike mkuu bibi ni balozi wa watanzania colorado