ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 22, 2014

BABA WATOTO WA ANNA AMFUANYIA KITU MBAYA HUKO KENYA HEBU SIKILIZA MWENYEWE

Alex Mwakideu na Daktari Msegerasi wa Redio Maisha wakiongea na Anna aliyefanyiwa kitu mbaya na baba watoto wake akivunja amri ya sita na mama yake mzazi Ebu Sikiliza mwenyewe

4 comments:

Anonymous said...

mungu wangu mungu amsaidiye huyu mwanamke jamani si mnaona wanaume walivyo wakatili mungu wangu weee mwanamme wa aina gani huyu na kukaa na boyfriend bila ya kuolewa si ndo mnakuona huku na kukaa na huyo boyfriend hata wazazi wake hujui wako wapi unaishi tu halafu ukipatwa na matatizo hujui wapi kwa kushikia eti tunaita style za kizungu si mnaona jamaani
na sidhani kama kweli yule ni mama yake wa kumzaaa yani haona hata aibu wala fedheha jamani ni funzo hili tujifunze wanawake tunaishi bila ya kuolewa na wanaume kama hawa nakuza nao mungu kwanza anataka tuwe tunaoana si kuishi tu kishikaji mungu wangu msaidiye sana mwanammke huyu inasikitisha sana na wasaidiye wanawake wenginewe wafunguke macho yao wakatae kuzaa zaa ovyo na wanaume wao bila ya kuolewa
luke ahsante sana kwa kutuweka hii story nifundisho sana i wish watanzania wakina mama wengi waisome hii wanaishi na wanaume na kuzaa nao bila kuolewa nao

Anonymous said...

uisamu ndiyo dini ya haki inatakataza sana mwanamme na mwanamkee kuishi tu bila ya kuolewa/kuowa na kuzaa nayeee

POLE SANA MAMA

Anonymous said...

huyu mama ni shetani mkubwa, yaani hana huruna kwa mtoto wake wala wajukuu wake ni mchawi huyu mama. mtu unashindwa kushangaa kwa kweli. na huyu mwanaume hakuwa na mapenzi ya kweli kabisa kwa dada wa watu. tujifunze wanawake jamani tujifunze. unapokaa na mwanaume lazima umsome kiasi gani anakuthamini sio unakaa tu ili mradi anakuleta mboga. mimi naona katika maisha ya wawili pamoja na upendo kikubwa ni kuthaminiana, na mengine yanafuata.

Anonymous said...

kuoa au kuolewa sio sababu huyo mama mkwe anatabia chafu sana hana hata heshima, pili je huyo mwanamke alikuwa anamtimizia mme wake haja ya ndoa inavyotakiwa? kuzaa watoto sio kumtimizia mtu haja ya ndoa dada zangu msikimbilie tu kuolewa wakati kuishi na wanaume hamuwezi, tatu huyo mwanamke anamakosa utakaaje na mtu ambae hata kwao hakujui wala hata ndugu yake mmoja humjui,kama alikuwa hataki kukuonyesha kwao ungemuacha wala usinge kubali kukaa na kuishi na kuzaa nae watoto bila kukujua kwao na ndugu zake kuolewa ingefuatia pole sana dada yangu kaza moyo mungu atakusaidia Huyo mwanaume ni mnyama na katili sana ametudhalilisha sana sisi wanaume akishikwa apewe adhabu kali sana kulingana na sheria.