Ibra akiwa na mama yake Mariam waliposheherekea mwaka mmoja wa kuzaliwa kwake huko Vienna Virginia Jumamosi January 11,2014.
Mama Ibra na Mindy wakimpongeza Ibra.
Wadau waliojitokeza kumpongeza Ibra.
Juu masista na chini mabradha vijana wa kesho waliokuwamo kumpongeza Ibra.
Jackie na Taji wakipata wasaa wa kung'aa.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
No comments:
Post a Comment