ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 2, 2014

Christmas Conference 2013 na Rev. Dr. Moses Kulola katika Kanisa la Bethel Kingdom

 Mwimbaji wa nyimbo za Injili Milka Kakete akiimba moja ya nyimbo zake kwenye Christmas Conference iliyofanyika katika kanisa la Bethel Kingdom lililopo maeneo ya Langley Park Maryland siku ya Ijumaa Dec 27 na 28, 2013 na kuhudhuriwa na waumini wa dhehebu hilo wakiwemo watu wengine waliokuja kusikiliza neno la Mungu kutoka kwa mchungjai Dr. Moses Kulola
 Mwimbaji wa nyimbo za Injili Milka Kakete kutoka Canada akiimba moja ya nyimbo zake.
 Mwimbaji wa nyimbo za Injili Milka Kakete kutoka Canada akiwa na wimbaji wengine waliohudhuria mkutano mkubwa wa Christmas uliofanyika Dec 27 na 28, 2013 katika kanisa la Bethel Kingdom.
 Bishop Melchizedek Maturlu akitoa neno la Mungu kwa waumini waliohudhuria mkutano mkubwa wa Christmas uliofanyika Langley Park katika kanisa la Bethel Kingdom/
 Rev. Dr Moses Kulala akitoa neno la Mungu kwenye mkutano mkubwa wa Christmas uliofanyika Langley Park, Maryland.
Picha ya pamoja

No comments: