
Umati wa watu wakishuhudia daraja maeneo ya Dumila lililoharibika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha leo Jumatano january 22, 2014 mkoani Morogoro.

Sehemu ya daraja la Dumila mkoani Morogoro lilivyoharibia kutaokana na mvua kubwa iliyonyesha leo Jumatano January 22, 2014.

Wakaazi wa Dumila wakishuhudia daraja hilo mkoani Morogoro lilivyoharibiwa na mvua kubwa iliyonyesha leo Jumatano January 22, 2014.

Daraja la Dumila likiwa limeharibiwa vibaya na mvua kubwa iliyonyesha leo Jumatano January 22, 2014.

sehemu ya juu ya daraja la Dumila linavyoonekana baada ya kuharibika vibaya baada ya mvua kubwa kunyesha leo Jumatano January 22, 2014.
1 comment:
kwa kweli inasikitisha hivi hizi longolongo za hivi zitaisha lini hili daraja ni zaidi ya mara nne sasa linaharibika kwanini lijengwe daraja lenye ubora tukaachana na haya mambo ya hivi kila siku hii ni aibu tupu
Post a Comment