Dancer wakiongozwa na Moze iyobo,wakifungua pazia la burudani
Wasafi wakifanya vitu vyao kuwachengua mashabiki waliojitokeza kushuhudia Prezeda Diamond akifanya makamuzi ya nguvu kwenye Onesho kabambe alilofanya siku ya Ijumaa jijini Nairobi nchini Kenya.
Weka mbalii na watoto na wala usijaribu nyumbani
Wasafi wakizidi kupagawisha.
Ni hatari bali salama
Mashabiki wakisuuzika na roho zao wakipata kitu kile roho inapenda.
Prezeda wa wasafi akiingia jukwaani
Msanii wa Bongo Flava Diamond akipagawisha Nairobi nchini Kenya.
6 comments:
The mdudu, bwana mdogo muda ndio huu wa kufanya makorabo ya maana na akina JAY Z,RICK ROSS,R KELLY,sio kwenda kujitesa kwahao wakenya tu wakati njaa mtu toka kimataifa hapo bado upo kitaifa
Don't hate wewe mburullaz unafikiri kila mtu anaweza kufanya macollabo na hao watu hapa marekani..ingekuwa rahisi kihivyo watu wote tungekuwa tunaimba. Acha ufala na roho mbaya
Atoke kimataifa kwa muziki wa kuiga? Let him go to Kenya na nchi zingine za njaa.
Unafiki, chuki, roho mbaya, roho ya kwanini,uzushi, wivu na kutopenda mafanikio ya wenzetu ndiyo jadi yetu watanzania. Wewe mtoa maoni namba moja ni mfano halisi wa hiki nilichokiandia.
Jukwaa aliloimba Nairobi ni zuri mara kumi ya aliloimbia DC,nyinyi hapo juu wote wazushi Mtoto ni wakati wake huu,, wewe hata mtaani kwenu hawakujui unafanya nini.
Mtabakia hivyo hivyo na roho zenu za kwanini, mwenzenu anazitengeneza mpeni credit yake.
Post a Comment