ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 3, 2014

HAPA NDIPO ATAKAPOZIKWA DR MGIMWA JIMBONI KWAKE KALENGA.

Hapa ndipo nyumbani alipozaliwa na alipokuwa akiishi aliyekuwa waziri wa fedha na mbunge wa jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa
Hii ndio nyumba ya waziri wa fedha Dr Wiliam Mgimwa iliyopo jimboni Kalenga ambako ndipo alipozaliwa ikiwa na bendera ikipepea nusu mlingoti

Hii ni nyumba anayoishi mama yake ambayo ipo jirani na yake
Wanachama wa CCM wakibadilisha bendera nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa fedha jioni ya leo .usikose kujua habari zaidi kesho juu ya maisha ya waziri Dr Mgimwa

No comments: