ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 3, 2014

HATUWEZI KUSAHAU MWAKA 2013 KUTOKANA NA TUKIO HILI NA HASA KWA KUTOOMBA MSAMAHA WATANZANIA

7 comments:

Anonymous said...

Huyu PhD, holder hana matatatizo. Tatizo ni shule alizosomea na yule aliyempatia hayo madaraka.

Anonymous said...

Kutokana na viwango vyetu vya elimu, sioni kama huyu ana tatizo. Tena anaweza kupewa nafasi zilizochwa wazi na mawaziri waliopungua.

Anonymous said...

Mungu wangu eeh, ndiyo maana elimu imeshuka Tanzania.

Anonymous said...

Wow! Kazi kweli kweli. Huyo ni waziri so sad

Anonymous said...

I can't believe this....Whaaat....yaani huyu bado ana cheo serikalini...only Tanzania.

Anonymous said...

one word 'MAJANGA"

Anonymous said...

Hili janga la Taifa! Hebu tizama tena na uwatizame wenzake waliokaa kwenye jukwaa wanavyotaka kukimbia jukwaa kwa kuhusishwa na jamaa huyo jukwaani!!! Ah ya ya!!!!! Mama yangu!