1. DAR - Utapeli
2. ARUSHA - Ustaarabu
3. MBEYA - Matukio
4. MWANZA - Fujo
6. MOROGORO - Starehe
7. DODOMA - Bahati
8. IRINGA - Elimu bora
9. RUVUMA - Pombe
10. RUKWA - Uchawi
11. TABORA - Mikosi
12. SHINYANGA - Njaa
13. SINGIDA - umalaya
14. KAGERA - Misifa
15. LINDI - Waoga
16. KIGOMA - Ubishi
17. PWANI - Uvivu
18. MTWARA - Hasara
19. KILIMANJARO - Ubahili
20. MARA - Hasira
21. MANYARA - Utajiri
22. GEITA - Presha
23. SIMIYU - Maradhi
24. NJOMBE - Haraka
25. KATAVI - Aibu

7 comments:
dar ustaarabu kila anayekuja kutoka kwao vijijini akiingia jiji la dar anastaarabika arusha jiji la layback hawana wasi wasi na maisha.
zanzibar je mbona mmeacha hapo ndo vikuba vya asmini na mapenzi moto moto mpaka hujitambui mtoto wa kiume/kikeee
Ama kweli nimechekeshwa sana, lakini wadau nadhani Singida imeonewa kidogo; mimi nadhani kagera pia ingechukua sifa ya Umalaya..kwani ndagulos are good indicators!
Moro ndio tunaongoza kwa ustaarabu,ndio maana kauli mbiu yetu KARIBU MORO mji kasoro bahari hakuna kama moro usifanye mchezo na mitotozi ya KIRUGULU moro oyeeee
imagine
1+14
DAR+KAGERA
UTAPELI+MISIFA = vurugu mechi
hapo ni nshomire anayedai kazaliwa ocean road hosp kumbe kazaliwa kashozi hospital
~mtani~
hiyo ya DAR ni kweli kabisa. jamani watu wa DAR ni waongoooo hadi inaboa. halafu kwa kutukana matusi ya nguoni kwao ni kitu cha kawaida
ni kweli singida wameonewa. hiyo sifa wangepewa hao misifa.
dar ongeza na lack of ustaarabu,
moshi ongeza pombe,
mwanza ongeza ukarimu,
arusha ongeza fweza
dar ndo ustaarabu wote upo hapo wote mnatoka vijijini kwenu mkija dar mnafundishwa ustaarabu wa watu kiswahili na nyinyi ndo mmetuleta utapeli wenu va mikoo yenu na ushamba wenu.
dar full stop ndo ustaarabu kwenda mbele hata kusema kiswahili vizuri mmefundishwa dar na mengi tu.
dar ndo kila kitu ndo maana mkija kutoka vijijini kwenu huko hamtaki kuondoka mnataka kukaa hata kuuza maji mitaani na karanga
Post a Comment